Skip to main content
Skip to main content

Linet Ayuko ni mwingi wa imani kwamba yeye na Pauline Sheghu watatamba katika WRC Safari Rally 2026

  • | NTV Video
    111 views
    Duration: 4:17
    Dereva msaidizi Linet Ayuko ni mwingi wa imani kwamba yeye na Pauline Sheghu watatamba katika makala ya mwaka huu ya mashindano ya dunia ya mbio za magari ambayo yatafanyika tarehe 12 hadi 15 mwezi huu mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya