22,372 views
Duration: 48s
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu amegonga mwamba tena leo hii baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ndogo ya Dar es Salaam kutupilia mbali mapingamizi yake mawili aliyokuwa amewasilisha mahakamani hapo.
-
Wiki iliyopita, Lissu alidai kwamba hati ya mashitaka yake haikukidhi matakwa ya kisheria na pia kutaka kesi hiyo irushwe mubashara. Hata hivyo mahakama hii leo imekataa mapingamizi yote. Kwa nini?
@RoncliffeOdit atakuwa na majibu katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC News Swahili.
-
-
#bbcswahili #diratv #lissu #chadema #kesi #uchaguzi2025 #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw