LIVE|| NEWS NOW|| TV

  • | TV 47
    128 views

    LIVE|| NEWS NOW|| TV

    Mapendekezo ya IEBC

    Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imependekeza uchunguzi ufanyike kuhusu fujo zilizotokea wakati wa matangazo ya matokeo ya kura ya urais katika ukumbi wa bomas mwezi agosti mwaka jana.

    Mkurugenzi mkuu wa tume ya iebc hussein marjani ameiambia kamati ya maridhiano kuwa licha ta kuripoti tukio hilo kwa maafisa wa polisi hakuna lolote ambalo limefanyika.

    Tume hiyo vile vile inataka kuongezewa muda katika shughuli ya kukarabati mipaka. Ambayo inakamilika mwaka ujao.

    //cgs// Tume ya IEBC yawasilisha mapendekezo yake mbele ya kamati ya maridhiano Iebc inaaka fujo zilizoshuhudiwa bomas kuchunguzwa

    Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __