LSK yanatishia kuwasilisha malalamishi bungeni, waziri Mithika Linturi achukuliwe hatua

  • | KBC Video
    18 views

    Chama cha wanasheria humu nchini LSK kinatishia kuwasilisha malalamishi bungeni kikitaka waziri wa kilimo Mithika Linturi achukuliwe hatua kuhusiana na utata unaoghubika utekelezaji wa mpango wa kitaifa wa mbolea ya ruzuku. Chama hicho kikiongozwa na rais wake Faith Odhiambo, kinamtaka Linturi kuyashughulikia madai ya udanganyifu katika utekelezwaji wa mpango huo na kuwezesha wakulima waliopokea mbolea ghushi kufidiwa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News