- 51 viewsUlaghai umeongezeka katika mfumo wa kifedha nchini Nigeria. Wataalamu wa kifedha wanasema kuongezeka kwa mfumo wa malipo kwa njia ya kielektroniki, vigezo vya chini vya uthibitishaji unafanya walengwa wa ndani kuwa hatarini zaidi kwa ulaghai. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Kampuni ya uwekezaji yalaghai mamia ya watu Nigeria | VOA Swahili
- 20 May 2024 - French forces smashed through dozens of barricades in a bid to retake the main road to New Caledonia's airport and a top official said Sunday that Paris would reclaim all of the Pacific territory from independence militants "whatever the cost".
- 20 May 2024 - The Kenya Meteorological Department on Sunday issued a four-day heavy rainfall, strong winds and large ocean waves advisory.
- 20 May 2024 - Israeli planes and tanks pounded areas across the Gaza Strip, residents said, as White House national security adviser Jake Sullivan met Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday amid U.S. calls for a more focused military campaign.
- 20 May 2024 - Local edible oil manufacturers have warned that the proposed 25 per cent excise duty on vegetable oils under the 2024 Finance Bill will shoot the price of cooking oil up 80 per cent.
- 20 May 2024 - The second in command has retreated to his Mt Kenya backyard and has revived the push for the controversial one man one vote one-shilling revenue-sharing formula.
- 19 May 2024 - Hundreds of people demonstrated in Tunis on Sunday in support of President Kais Saied amid widespread criticism at home and abroad after a wave of arrests that included journalists, activists and lawyers.
- 19 May 2024 - Arsenal missed out on a first Premier League title since 2004 despite beating Everton as Manchester City took the glory. To be crowned champions, the Gunners needed to beat the Toffees and hope City failed to win against West Ham. Arsenal suffered a…
- 19 May 2024 - Niger and the United States have reached an agreement on the withdrawal of American troops from the West African country, a process that has already begun and will be finished by Sept. 15, they said in a joint statement.
- 19 May 2024 - EACC recommends prosecution of FKF president, Jirongo over graft
- 19 May 2024 - The Ministry of Transport now says it is in the advanced stages of implementing its road safety measures to arrest the rampant tragic road accidents across the country.