Maadhimisho ya siku ya kupanga uzazi yafanyika Kilifi

  • | Citizen TV
    271 views

    Maadhimisho ya uzazi wa mpango ulimwenguni yalifanyika katika kaunti ya Kilifi huku wanaume wakipewa wito wa kupinga taasubi za kiume katika kutoa uamuzi wa kupanga uzazi. Wadau katika masuala ya upangaji uzazi wameeleza kuwa hii ni mojawapo ya changamoto katika kaunti hiyo