Skip to main content
Skip to main content

Maadhimisho ya siku ya mazingira yatafanyika shuleni Kabuyefye Trans Nzoia kesho

  • | Citizen TV
    184 views
    Duration: 8:55
    Maandalizi ya kusheherekea siku ya mazingira hapo kesho katika shule ya msingi ya kabuyefye kaunti ya trans nzoia yanaendelea. Na huko shuleni racecourse jiji Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, wizara ya mazingira pia inapanda miti shuleni kabla ya sherehe za Ijumaa. Wakenya wanaombwa kujitokeza kwa wingi na kutumia fursa hii kila mmoja ,wapande miti ili walinde mazingira inavyopaswa ili taifa lifikie malengo ya kupanda miti zaidi ya bilioni kumi na kwa manufaa yao wenyewe.