5 Dec 2025 7:08 pm | Citizen TV 9,788 views Duration: 33s Watu wanne wamefariki huku kadhaa wakijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea huko Wakhungu eneo bunge la Funyula kaunti ya Busia.