Skip to main content
Skip to main content

Maafa na simanzi Nairobi baada ya mvua ya Ijumaa kusababisha vifo vya watu 25

  • | Citizen TV
    13,542 views
    Duration: 3:30
    Ulikuwa usiku wa mahangaiko na hofu kubwa kwa wakazi wa jiji la Nairobi Ijumaa Usiku kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa saa kadhaa na kuligeuza jiji la Nairobi kuwa kama ziwa kuu lenye maji yaliyokuwa yakivuma kwa kasi . Maelfu ya watu walikwama na magari kuzama kwenye mafuriko hadi Jumamosi alfajiri.