Maafa ya Mafuriko: Mvulana wa miaka 12 afariki Mwingi

  • | KBC Video
    32 views

    Mvulana mmoja wa umri wa miaka 12 katika eneo la Mwingi kaunti ya Kitui ndiye mtu wa hivi punde kuaga dunia kutokana na athari za mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali humu nchini. Haya yanajiri huku naibu wa rais Rigathi Gachagua akitoa wito kwa serikali za kaunti kutumia pesa za hazina ya kukabiliana na mikasa ya dharura katika bajeti zao kukabiliana na athari za mvua ya El nino licha ya serikali za kaunti kuitisha pesa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive