- 19,708 viewsDuration: 1:45Maafisa 11 wa polisi wamekamatwa katika kipindi cha siku mbili kwa madai ya kuhusika wizi wa kimabavu katika maeneo tofauti nchini. Polisi wanwazuilia maafisa watatu wa dci, kiamumbi kaunti ya kiambu na wengine wanane wanaodaiw akuiba gari katika kituo cha polisi cha maseno.