- 2,283 viewsDuration: 1:50Maafisa 11 wa polisi wamekamatwa katika kipindi cha siku mbili kwa madai ya kuhusika wizi wa kimabavu katika maeneo tofauti nchini. Polisi wanawazuilia maafisa watatu wa DCI, Kiamumbi kaunti ya Kiambu na wengine wanane wanaodaiwa kuiba gari katika kituo cha polisi cha Maseno