Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa afya ya umma katika kaunti ya Kwale wanataka kuajiriwa

  • | Citizen TV
    224 views
    Duration: 1:58
    Chama cha maafisa wa afya ya umma nchini kimetaka kuajiriwa kwa maafisa zaidi katika kaunti ya Kwale, kikisema idadi yao ni ndogo muno ilhali jukumu ya kuzuia maambukizi na kusambaa kwa magonjwa miongoni mwa jamii ni mengi. Pia wametaka usimamizi wa mipango ya afya ya umma kuendeshwa na maafisa hao wakilalamika kuwa mipango yao imekua ikiingiliwa na wahudumu wa afya kutoka vitengo vingine