Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa DCI Bungoma wawakamata washukiwa watatu katika mauaji ya Nathan Wasama

  • | NTV Video
    7,063 views
    Duration: 3:25
    Siku chache baada ya mauaji ya aliyekuwa diwani wa eneo la Mlima Elgon, Nathan Wasama, maafisa wa DCI Bungoma wamewakamata washukiwa watatu katika operesheni iliyofanyika eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya