Maafisa wa DCI wamkamata Mbunge wa Naivasha Jayne Kihara

  • | Citizen TV
    9,916 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa nyumbani kwa mbunge wa Naivasha Jayne Kihara hii leo, maafisa wa DCI walipomkamata. Maafisa hao walizingira nyumba ya mbunge huyo na kumfanya kukatiza mkutano kati yake na wafuasi wake.