Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa elimu wakosoa wabunge juu ya mpito wa gredi 10

  • | Citizen TV
    1,178 views
    Duration: 3:39
    Maafisa wakuu wa wizara ya elimu wamejipata kwenye darubini kutoka kwa wabunge kuhusu sera za elimu nchini, haswa mpito wa wanafunzi wa gredi ya 10. Waziri wa elimu Migos Ogamba akibanwa kujitetea pamoja na makatibu wake kwa kutojua baadhi ya maswali muhimu waliyoulizwa na wabunge. Ogamba akishindwa kubaini hata gharama ya kumuelimisha mwanafunzi mmoja