- 1,041 viewsMaafisa wa polisi wameanzisha uchunguzi kufuatia madai kuwa miili 14 imezikwa katika kaburi moja eneo la Makaburini kaunti ya Kericho. Miili hiyo inasemekana kuwa ilizikwa kwa njia tatanishi Ijumaa asubuhi. Serikali ya KauntI ya Kericho imekanusha madai ya kuhusika katika kisa hicho huku wakaazi wakidai serikali iwajibike,