Maafisa wa tabibu katika kaunti ya Kilifi waandamana wakitaka mishahara bora

  • | Citizen TV
    220 views

    Maafisa wa tabibu katika kaunti ya Kilifi wameandamana wakitaka mishahara bora na kuboreshwa kwa mazingira ya kazi kutoka kwa serikali.