Maafisa wa usalama wanachunguza vifo vine, Thika

  • | Citizen TV
    2,328 views

    Maafisa wa usalama kaunti ya Murang'a wanachunguza kisa ambapo miili ya watu wanne wanaodaiwa kuiba mananasi katika shamba la Delmonte ilipatikana ndani ya mto Thika. Inadaiwa kuwa huenda watu hao walidhulumiwa na walinzi wa kampuni hiyo