Maafisa wa usalama washika doria katika boma la muhubiri tata Paul Mackenzie mjini Kilifi

  • | Citizen TV
    12,629 views

    Maafisa wa polisi wanaendelea kushika doria katika boma la muhubiri tata Paul Mackenzie mjini Kilifi. Hii ni baada ya makazi yake na kanisa lililofungwa mwaka 2019 kuvamiwa hapo jana.