1 Oct 2025 1:25 pm | Citizen TV 3,402 views Duration: 1:20 Maafisa wa uslama mjini Kapsabet wamenasa kilo 50 ya bangi yenye thamani ya shillingi 250,000 iliyokuwa ikisafishishwa ndani ya Matatu iliyotoka Mumias kuelekea jijini Nairobi.