- 800 viewsDuration: 3:01Naibu Waziri wa masuala ya Nje wa Marekani, Christopher Landau, pamoja na Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen, wanaongoza hafla ya kuwatambua maafisa wa Kenya waliotumikia katika ujumbe wa Haiti. Maafisa hao walirejea nchini tarehe 9 Desemba mwaka jana baada ya kukamilisha kikosi cha ulinzi cha miezi 18 chini ya ufadhili wa Umoja wa Mataifa.