Maafisa wanaosimamia TVET wazuru kaunti ya kericho

  • | Citizen TV
    68 views

    Maafisa kutoka idara ya kusimamia masomo ya vyuo vya kiufundi TVET wamezuru Kaunti ya Kericho ili kukutana na wazimamizi wa vyuo hivyo kutoka Kaunti za Bomet na Kericho kwa ajili ya kuendeleza hamasisho ya utekelezaji wa mfumo wa mtaala wa msimu huu.