Maafisa wanne wa Polisi waepuka kifungo, waamriwa kuwalisha wafungwa

  • | Citizen TV
    5,758 views

    MAAFISA WANNE WA POLISI WALIOKOSA KUFIKA MAHAKAMANI KUTOA USHAHIDI DHIDI YA AFISA MWENZAO AHMED RASHID WAMEEPUKA KIFUNGO CHA MIEZI MITATU BAADA YA MAHAKAMA KUPUNGUZA ADHABU HIYO. HATA HIVYO, MAHAKAMA IMEWAAGIZA WAWALISHE WAFUNGWA NA WATU WENGINE WALIOKUWEPO MAHAKAMANI. WILLY LUSIGE NA TAARIFA ZAIDI