Skip to main content
Skip to main content

Maambukizi mapya ya virusi vya HIV yapungua kwa asilimia 82 katika kipindi cha miaka kumi

  • | NTV Video
    642 views
    Duration: 2:58
    Maambukizi mapya ya virusi vya HIV yamepungua kwa asilimia 82 katika kipindi cha miaka kumi, kutoka 77,647 mwaka 2015 hadi 13,936 mwaka 2025. Hii ni kulingana na Baraza la Kitaifa la Kudhibiti Maradhi ya Kuambukizana. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya