Maandalizi ya chaguzi ndogo zitakazoandaliwa tarehe 27 mwezi Novemba yanakamilika, ambapo vyama vya siasa vinajiweka katika nafasi bora kushindania nafasi hizo ziliopo kote nchini. Chama cha Equitable, ambacho kimewasilisha wagombea katika uchaguzi ujao, kimetoa wito wa uchaguzi huru, wa haki na utakaothibitishwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive