Maandalizi ya CHAN

  • | Citizen TV
    1,544 views

    Mawaziri wa michezo kutoka Kenya, Uganda na Tanzania wameanza kuweka mikakati ya kurahisisha usafiri wa mashabiki watakaokuwa wakielekea nchi hizo tatu kwa mchuano wa CHAN mwezi Agosti. Kwenye kikao na wanahabari hapa jijini Nairobi, mawaziri hao wamesema miundo mbinu ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilika.