- 2,052 viewsDuration: 4:47Kaunti ya Wajir sasa iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya sherehe za Madaraka Dei mwaka huu, huku mabadiliko makubwa ya maendeleo yakishuhudiwa katika mji wa Wajir. Na kama anavyotuarifu Mwandishi wetu wa Wajir Hashiim Jimaal, Barabara mpya, taa za barabarani pamoja na ujenzi wa miundombinu mbalimbali sasa vinaipa kaunti hiyo sura mpya.