Maandalizi ya mazishi ya mbunge wa Kasipul yang’oa nanga

  • | KBC Video
    4,647 views

    Wakenya wanaomboleza kifo cha mbunge wa Kasipul,Charles Were, ambaye alipigwa risasi katika mzunguko wa barabara ya chumba cha kuhifadhi maiti cha city jijini Nairobi, kwa kile kinachodaiwa kuwa mauaji ya kupangwa. Huku uchunguzi kuhusiana na mauaji hayo ukiendelea, wabunge wanaendelea kufika nyumbani kwake, jijini Nairobi ili kuifariji familia huku mipango ya mazishi ikianza, kabla yake kuzikwa tarehe tisa mwezi huu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive