Maandalizi ya mazishi ya mjane wa Dedan Kimathi, Mukami Kimathi yakamilika

  • | K24 Video
    70 views

    Maandalizi ya mazishi ya mjane wa Dedan Kimathi, Mukami Kimathi yamekamilika eneo la Njabini kaunti ya Nyandarua. Mazishi ya kesho ya mukami yanatarajiwa kuhudhuriwa na watu elfu kumi hivi wakiwemo viongozi mbali mbali wa serikali na upinzani.