Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya mitihani ya gredi 6 na 9 yakamilika

  • | Citizen TV
    553 views
    Duration: 49s
    Zaidi ya watahiniwa milioni 1.13 watatathminiwa kuanzia Jumatatu wiki ijayo. Aidha wanafunzi wengine zaidi ya milioni moja watafanya tathmini ya gredi ya sita -KPSEA. Maandalizi ya mitihani hiyo ya kitaifa imekamilika huku watahiniwa wakishiriki zoezi la majaribio hii leo. Mbali na wanafunzi hao, wengine zaidi ya laki tisa watafanya mtihani wa kidato cha nne KCSE.