Maandalizi ya mtihani wa KCPE yakamilika

  • | KBC Video
    12 views

    Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amewasilisha risala za rambirambi kwa familia za watahiniwa wa mtihani wa kitaifa wa shule za msingi KCPE kutoka shule ya msingi ya Arap Moi iliyoko Tarakwa kaunti ya Uasin Gishu waliofariki katika mkasa wa mtumbwi. Katika taarifa, Machogu ametoa hakikisho la uchunguzi kuhusiana na vifo hivyo akisema watakaopatikana na hatia watachukuliwa hatua za kisheria. Haya yanajiri huku mtihani huo wa kitaifa uking’oa nanga hapo kesho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive