Maandalizi ya siku ya Madaraka yaendelea Homa Bay

  • | Citizen TV
    547 views

    Maandalizi ya mwaka huu ya sherehe za siku kuu ya madaraka mjini Homa bay yanaendelea kushika Kasi huku viongozi mbali mbali kutoka serikali kuu na serikali ya kaunti wakiahidi maandalizi haya yatakamilika chini ya wiki Moja. James Latano alizuru baadhi ya sehemu za maandalizi na kuandaa Taarifa ifuatayo.