Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya uchaguzi 2025

  • | BBC Swahili
    13,969 views
    Duration: 2:13
    Watanzania wanakusanya nguvu za mwisho kabla ya siku ya uchaguzi. Hoja, matumaini, na wasiwasi vinachanganyika huku kila mwananchi akijiandaa kuchagua kiongozi atakayeshughulikia changamoto zao. Mwandishi wa BBC, @elizabethkazibure, ametembelea mitaa ya Dar es Salaam na kuzungumza na baadhi ya wananchi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw