17 Sep 2026 1:50 pm | Citizen TV 29 views Maandalizi ya uchaguzi ujao wa Baraza la Taifa la Vijana yamekuwa yakiendelea kwa kasi, Baraza hilo likifanya kampeni yake ya elimu ya kiraia katika Taasisi ya Ufundi ya Thika katika Kaunti ya Kiambu.