Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya uchaguzi wa eneobunge Malava yameshika kasi

  • | Citizen TV
    2,160 views
    Duration: 5:21
    Maandalizi ya uchaguzi mdogo ya eneo bunge la Malava yameshika kasi huku maafisa wa IEBC wakiongozwa na msimamizi wa uchaguzi katika eneo bunge hilo Salim Abdalla wakiaanda vifaa vitakavyotumika katika upigaji kura siku ya Alhamisi.