Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya uchaguzi yanaendelea vyema Ugunja Kaunti ya Siaya

  • | Citizen TV
    449 views
    Duration: 2:57
    Matayarisho ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ugunja kaunti ya Siaya yanaendelea vyema, ambapo jumla ya wagombea kumi wanamezea mate kiti hicho. Kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi eneo hilo Dennis Omare, vifaa vya uchaguzi vitasambazwa kutoka shule ya upili ya Ambira ambapo mwanahabari wetu Laura Otieno yupo kutujuza mengi kuhusu uchaguzi mdogo katika eneo hilo