Maandamano Iran: Wanawake ulimwenguni wakata nywele zao

  • | BBC Swahili
    973 views
    Wanawake kote duniani wanaandamana dhidi ya serikali ya Iran kwa kukata nywele zao katika mitandao ya kijamii. Maandamano hayo yalianza baada ya kifo cha Mahsa Amini ambaye alikuwa amekamatwa na polisi nchini Iran. Ukataji huo wa nywele ulifanywa pia na waigizaji gizaji Juliette Binoche na Marion Cottilard. #bbcswahili #iran #maandamano