Maandamano ya Chadema yafanyika, wananchi wajitokeza
Idadi kubwa ya Watanzania wamejitokeza na kuunga mkono maandamano ya amani yaliyoandaliwa na chama kikuu cha upinzani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaliyofanyika Jumatano.
Maandamano hayo yaliyoanzia jijini Dar-es Salaam, na kuendelea katika miji mingine yanapinga kupanda kwa gharama za maisha na kudai kusikilizwa kwa maoni ya wananchi na wadau wa demokrasia katika masuala ya sheria ya uchaguzi.
Waongozi wa maandamano hayo walifikisha ujumbe wao katika ofisi za Umoja wa Mataifa, unaoitaka serikali ya Tanzania kushughulikia changamoto za kupanda kwa gharama za maisha zinazowakabili wananchi pamoja na mageuzi ya katiba.
Mratibu wa mtandao wa vuguvugu la katiba, Buberwa Kaiza amesema sababu ya maandamano hayo kuishia katika ofisi za Umoja wa Mataifa ni kutoa ujumbe duniani kupitia umoja huo kuwa miswaada ya sheria ya uchaguzi iondolewe bungeni.
“Sababu kubwa ya kuja hapa Umoja wa Mataifa ni kutoa ujumbe duniani kote kupitia umoja huu kwamba madai haya ya sheria hizi ziondolewe bungeni yapate nguvu yaweze kusikilizwa kwa namna ambavyo inatarajiwa,” Kaiza.
#chadema #upinzani #maandamano #wananchi #daressalaam #tanzania #voa #voaswahili
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- The MP has shown interest in running for governor of Nairobi.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- The ruling follows a petition filed by four individuals, among them Nakuru-based surgeon Dr. Benjamin Gikenyi, challenging the legality of the committee appointed to audit pending NHIF claims.
13 Aug 2025
- The president had previously hosted thousands of youths at State House.
13 Aug 2025
- China expects to import 2,000 tonnes of macadamia by the end of the year.
13 Aug 2025
- "Tusiharibu game tumestruggle sana kuijenga.”
13 Aug 2025
- Senior officials from the British Army Training Unit Kenya (BATUK) failed to appear in Parliament on Tuesday to answer questions about the atrocities their soldiers have committed in the country.
13 Aug 2025
- African officials and experts have warned that the unpredictability of U.S. trade policy fuels uncertainty for the continent's development.
13 Aug 2025
- Staying in touch with friends and family accounts for 60.2% of usage.
13 Aug 2025
- For those with visual impairments, female ownership is slightly higher at 70.8% compared to males at 66.1%.
13 Aug 2025
- Widow says she warned her late husband against following suspected cult leader's teachings.