Skip to main content
Skip to main content

Maandamano ya mfanyibiashara aliyetoweka Busia

  • | Citizen TV
    5,055 views
    Duration: 2:35
    Watu kadhaa wamekamatwa na kuzuiliwa kufuatia vurugu zilizozuka huko Busia. Maandamano yalizuka mjini kufuatia kutoweka kwa mfanyibiashara, Ibrahim Mohammed, kwa wiki mbili sasa . Wakazi na familia ya mfanyibiashara wanataka polisi kutoa taarifa kuhusu aliko, wakidai kuwa alitoweka muda mfupi baada ya kushushwa kwenye basi katika kizuizi cha polisi.