Maandamano yanavyoathiri afya ya akili

  • | BBC Swahili
    1,440 views
    Mchakato wa maandamano Kenya bado unaendelea huku vijana wakioneakana kuwa na hamu ya kusukuma serikali kuwajibika majukumu yake kupitia maandamano barabarani. Hata hivyo wataalamu wa afya wanaonya kwamba madhila ya maandamano yanatishia kuongeza changamoto ya afya ya akili ni miongoni mwa vijana au kuifanya kuwa mbaya zaidi. Huku kila mwamba ngoma akivutia kwake, mwarobaini wa tatizi hili ni gani? Jiunge naye Martha Saranga, saa tatu usiku kwenye Dira ya Dunia TV akikuchambulia suala hili na mengine mengi mubashara kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. - - #bbcswahili #maandamano #siasa #gnz #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw