Maaskofu wa ACK Nyanza wataka idara ya upelelezi DCI ivunjwe

  • | Citizen TV
    840 views

    Maaskofu wa kanisa la kianglikana kutoka eneo la Nyanza sasa wanataka idara ya ujasusi ya DCI kuvunjwa kwa madai ya kutumika vibaya na wale walio na mamlaka.