Maaskofu wa kanisa Katoliki waratibu masuala saba

  • | Citizen TV
    354 views

    Baraza la maaskofu wa kikatoliki nchini (Kenya conference of Bishops), wamepinga mswada unaopendeke na wizara ya elimu kufanyia marekebisho sekta ya elimu wakiteta kwamba serikali inabagua taasisi za elimu nchini zinazofadhiliwa na kanisa katoliki. Kwa mfano wanasema mswada huo hautambui juhudi za kanisa katoliki kufadhili shule na sekta ya afya. Vile vile wamegutushwa na na hatua ya serikali kuongeza Kodi ama work permit ya wamishenari wanaofanya kazi nchini kutoka shilinngi elfu 15 had elfu 150 ili wafanye kazi.