Mabadiliko ya hali ya hewa yaathiri uvuvi

  • | Citizen TV
    209 views

    Huku swala la mabadiliko ya tabianchi likiendelea kuzua changamoto tele, imebainika kuwa hali hii inaathiri pakubwa sekta ya uvuvi katika kaunti za migori na homa bay huku wanawake na vijana wakihangaika zaidi. Wataalam wanasema mabadiliko ya tabianchi yanaathiri samaki katika ziwa viktoria na kusababisha pigo kubwa katika sekta ya uvuvi.