Mabaharia mjini Mombasa walalamikia kukandamizwa kazini

  • | Citizen TV
    116 views

    Mabaharia kutoka kaunti ya mombasa wamewasilisha maalamishi yao katika halmashauri ya usalama wa Bahari KMA pamoja Na bandari ya Mombasa wakitaja ajira, uboreshaji wa huduma Na mafunzo zaidi. Mabaharia hao wanadai kutengwa huku wakisema baadhi ya viongozi katika vyama vya kutetea haki za mabaharia wamezembea kazini. Francis Mtalaki anaarifu kutoka mombasa.