Mabasi abiria yanayotumia umeme kupigwa jeki baada ya Kenya kutia sahihi mkataba wa bilioni 8.7

  • | KBC Video
    32 views

    Mfumo wa uchukuzi wa mabasi ya kisasa ya abiria yanayotumia umeme na yaliyo na uwezo wa kubeba abiria wengi umepigwa jeki baada ya Kenya kutia sahihi mkataba wa shilingi bilioni 8.7 na kampuni ya Milenia ya Marekani kufadhili ununuzi wa mabasi hayo ya umeme yatakayotumia safu maalum kwenye barabara kuu ya Thika. Akishuhudia usaini wa mkataba huo jijini New York, Marekani, rais William Ruto amesema mradi huo utasaidia Kenya kukabiliana na msongamano wa magari jijini Nairobi. Uketo wa taarifa hii ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive