Wazazi tunapaswa kuwafundisha watoto kutoruhusu kushikwa sehemu nyeti na mtu yeyote - Salano

  • | TV 47
    8 views

    "Kama wazazi, tunapaswa kuwa na uhusiano mwema na watoto wetu na kuwafundisha mapema kwamba hawapaswi kukubali kushikwa sehemu zao nyeti na mtu yeyote. Ikitokea, wanapaswa kuripoti mara moja. Tatizo ni kwamba tumewaachia watoto wetu kwa jamaa na wasaidizi wa nyumbani." - Salano Inzai, Balozi Wa Afya Ya Uzazi

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __