Mabegi ya wanafunzi yenye mfumo wa umeme jua

  • | BBC Swahili
    327 views
    Wakati dunia ikipambana na mabadiliko ya Tabia nchi, Kijana wa Kitanzania Innocent James akishirikiana na wenzie wamebuni mabegi yenye mfumo wa umeme jua ili kuwasaidia wanafunzi kwenye maeneo ya vijijini kupata mwanga na kujisomea nyakati za usiku Mabegi haya yanatengenezwa kwa kutumia taka mali, kama vile mifuko ya saruji iliyotumika, kwa siku kiwanda kiwanda kina uwezo wa kutengeneza wastani wa mabegi 100 #bbcswahili #tanzania #mabadilikotabianchi