23 Sep 2025 1:13 pm | Citizen TV 296 views Duration: 1:06 Machifu kutoka eneo la Elwak, kwenye mpaka wa Kenya na Somalia eneo la Mandera Kusini, wameunga mkono hatua ya serikali kuwahami kwa bunduki ili kukabiliana na tishio la wanamgambo wa Al Shabaab.