Skip to main content
Skip to main content

Madai ya kutekwa kwa Polepole: Familia na Polisi wazungumza

  • | BBC Swahili
    30,211 views
    Duration: 2:49
    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania, Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameiambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Oktoba 6 nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.#bbcswahili #dirayaduniatv #bbcswahilileo